Loading...
Loading Live Scoring...
*All times CAT (GMT+2)

Football | Habari

Waalgeria kuchezesha Taifa Stars, Ivory CoastShirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeteua waamuzi kutoka Algeria kuchezesha mechi kati ya Taifa Stars na Ivory Coast itakayofanyika Jumapili saa 9 alasiri kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Waamuzi hao watakaochezesha mechi hiyo ya kundi C kuwania tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Brazil wataongozwa na Charef Mehdi Abid atakayepuliza filimbi. Atasaidiwa na Hamza Hammou na Bouabdallah Omari wakati mezani atakuwa Sofiane Bousseter.

Abdi na wezake wanatarajiwa kutua nchini Ijumaa (Juni 14 mwaka huu) saa 12 asubuhi kwa ndege ya EgyptAir. Mtathmini wa waamuzi ni Athanase Nkubito kutoka Rwanda ambaye atatua nchini Ijumaa (Juni 14 mwaka huu) saa 12 jioni kwa ndege ya RwandAir.

Kamishna wa mechi hiyo ni Bernard Mfubusa kutoka nchini Burundi ambapo atawasili nchini Ijumaa saa 3.35 asubuhi kwa ndege ya Kenya Airways. Maofisa wote hao wa mechi hiyo watarejea makwao Jumatatu.Comments

More expert analysis and opinion from Sport24
The opinions expressed by Sport24 experts and bloggers are theirs alone, and do not necessarily represent those of SuperSport

Event Streaming

Channel Streaming

Other Live Streaming

Event Streaming

Channel Streaming

Sports TalkCalvin Emeka Onwuka
Premier League preview - part 1
Maybe it is a sign of my age, or an indication of how the last two seasons have been for the club I...

Dr Errol Sweeney
Ref's job becoming more difficult
What you are about to read may sound like I’m stating the obvious, but it’s true.

Segun Odegbami
Sunday's foreign choice
If a foreign coach is undesirable, what makes a foreign assistant acceptable?

Carol Radull
Is this Gor Mahia's year?
Gor Mahia is having a bit of a dream season. A total of 18 games into the season, they are unbeaten.

Sunday Oliseh
Super Eagles job: an uphill task worth taking
It is definitely the most delicate football job on the African continent and the most demanding.

Neil Tovey
Why I answered Safa’s call
I am pleased to have agreed to a deal in principle to serve as Safa’s technical director for the...