Forgot Password

 

Register

 

Create your Connect ID

This will allow you to login to all DStv websites & applications
or
Login using
x

Email Reset

 
Loading...
Loading Live Scoring...
*All times CAT (GMT+2)

Football | Habari

Mrisho Ngassa @ SS com

Ngassa atimiza ndoto ya kurejea YangaKiungo wa kati machachari, Mrisho Ngassa amejiunga tena na mabingwa wa Vodacom Tanzania Ligi Kuu Bara, Yanga.

Ngassa, ambaye alichezea watani wao Simba Jumamosi ambako alikuwa amesajiliwa kwa mkopo kutoka Azam, aliziduliwa tena kama mchezaji wa kijani na njano katika Mtaa wa Jangwani, Dar-es-Salaam.

Akizungumuza na waandishi wa habari, Ngassa ambaye nia yake kurejea Yanga ilikumbwa na tetesi kali za ulaghai, alisema kwamba ako huru kuchezea kilabu chochote kwani kandarasi yake na Azam imetamatika.

“Sikujiunga na Simba kwa mkataba wa kudumu. Hilo ni jambo ningelipenda kusisitiza kwani wengi wanadhani kinyume. Nikon a uhuru wa kujiunga na kilabu chagu cha zamani,” aliongezea.

Nyota huyo aliyekuwa akichezea Kagera Sugar, aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa ghali zaidi katika historia ya Ligi Kuu Bara Tanzania alipojiunga na wakwasi Azam kutoka Yanga.

Mnano mwaka wa 2009, alialikwa kufanya majaribio ya wiki mbili na kilabu cha Ligi Kuu Uingereza, West Ham, na angalifaulu Ngassa angekuwa mchezaji wa kwanza Mtanzania kucheza katika moja wepo ya ligi za juu duniani.

Baada ya kuangaza Kombe la Taifa Bingwa Afrika Mashariki (CECAFA Cup) Kampala mwaka jana, kulikuwa na uvumi angelijiunga na El Merreikh ya Sudan lakini mazungumuzo yakaporomoka.

Kurejea kwake mwana mpotevu ni thihirisho kwamba wana kijani na njano wamenoa makali kutetea taji lao la Ligi Kuu Bara na kutamba katika Kombe la Kagame linalojumuisha vilabu kuu eneo hili ambalo linaaza Khartoum.

Ngassa amenyakuwa Ligi mara mbili sawia na kushinda Kombe la Cecafa.

Shop

Gerrard: My Autobiography
Steven Gerrard is a hero to millions, not only as the inspirational captain of Liverpool FC, but as a key member of the England team.
R152.00
Rafa: My Story
Revelatory memoir from the greatest sportsman in the world today.
R182.00
FIFA 14
Xbox 360
R549.00
Mitre Ultimatch Soccer Ball - White
A high quality football, offering high performance at both training and during football matches.
R252.00


Comments

More expert analysis and opinion from Sport24
The opinions expressed by Sport24 experts and bloggers are theirs alone, and do not necessarily represent those of SuperSport

Live Video Streaming

Match For Peace - 2014
Mon, 01 Sep @ 05:00
Mon, 01 Sep @ 17:00

Sports TalkCarol Radull
Where are Kenya's strikers?
I was watching the English Premier League match between Everton and Chelsea on Saturday night and...

Calvin Emeka Onwuka
Spurs will challenge for the title
It was in my room in Rustenburg, during the last Afcon, that I noticed the style that Mauricio...

John Dykes
United in condemnation
The British football press showed tremendous solidarity this week when they all leaped on the same...

Neil Tovey
Borrowing from best practice
The late Irish scribe and poet Oscar Wilde once famously opined that “youth is wasted on the...

Sunday Oliseh
Man U need more than an 'Angel'
Just two games into the English Premier League and Manchester United are five points (synonymous to...

Arjun Vidyarthi
Good signs for the Reds despite loss
A brace from Stevan Jovetic and a Sergio Aguero stunner ensured that Manchester City took all three...